Banner

Banner

Tuesday, 3 November 2015

Mkurugenzi mtendaji wa Grace Products Limited Bi.Elizabeth Kilili akipokea cheti cha utambuzi kutoka kwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda baada ya kushiriki katika kuanzisha chama cha Ufugaji Nyuki Tanzania (Tanzania Beekeeping Development Organization-TABEDO).Asali ni moja ya malighafi zinazotumika kutengeneza bidhaa za asili za Grace.

No comments:

Post a Comment