Banner

Banner

Thursday, 17 December 2015

Bidhaa zetu zinatenda maajabu.. 

 
Wapo wengi wanaoteseka na magonjwa  mbalimbali hususani ya ngozi.Pengine hata wewe ni mmoja kati ya hao wanaoteswa na magonjwa ya ngozi au hata ndugu, jamaa na rafiki yako.Usivunjike moyo kwani yupo mkombozi wa tatizo lako na si mwingine bali ni bidhaa za asili za Grace.
Utendaji kazi wa bidhaa zetu umethibitisha makubwa kwa wengi waliozijaribu. Kama una matatizo sugu ya ngozi na nywele au ungependa kuitunza ngozi yako ya asili,Grace products ndio jibu lako.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na sisi kupitia njia za mawasiliano hapo juu au tutembelee ofisini kwetu Ilala Boma,Jengo la Mwalimu,Ghorofa ya Nane.

No comments:

Post a Comment