Banner

Banner

Wednesday, 13 April 2016


Sio kila shampoo itakufaa lakini nina uhakika Grace Herbal Shampoo & Conditiner ni chaguo sahihi kwa ajili ya nywele zako.


Grace Herbal Shampoo & Conditioner imetengenezwa kwa ajili ya kusafisha na kutunza nywele za asili na zilizowekwa relaxer. Ina conditioner inayozifanya nywele ziwe na muonekano mzuri na wa kuvutia. 

Shampoo hii ya Grace inapatikana kwenye ujazo wa 250Ml, Lita 1 na Lita 5. Jipatie shampoo yako kwenye maduka ya urembo nchi nzima au tembelea ofisi zetu Ilala Boma, jengo la Mwalimu, ghorofa ya 8.

No comments:

Post a Comment