Banner

Banner

Monday, 23 May 2016



Hutojutia maamuzi ya kuyachagua mafuta ya Grace Avocado Hair & Body Gardener na kuyafanya mafuta rasmi kwa ajili yako na familia yako. Mafuta haya ya asili kutoka Grace Products Limited yataboresha afya ya ngozi na nywele zako na kuzilinda.

Mafuta haya pia yatailainisha na kuifanya ngozi yako nyororo wakati wote. Mafuta haya ni mahsusi kwa ajili ya ngozi na nywele.

Jipatie mafuta haya kwenye maduka ya vipodozi au maduka mengine nchi nzima au tutembelee makao makuu Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.

No comments:

Post a Comment