Uso wako uko salama kwa kutumia Grace Organic Lotion Zoazoa. Losheni hii maalulm kwa ajili ya uso itakuacha ukiwa fresh, mwenye uso wenye afya bora na ya uhakika kutokana na virutubisho vitokanavyo na mchanganyiko wa tango, asali,nazi, bila kusahau parachichi vilivyomo ndani ya losheni hii ya asili kutoka Grace Products Limited.
Jipatie losheni yako ya uso ya Grace Organic Lotion Zoazaoa kwenye maduka ya vipodozi au tutembelee Ilala Boma Mwalimu House, Ghorofa ya 8.
No comments:
Post a Comment