Banner

Banner

Tuesday, 7 June 2016


Grace Zoazoa Manjano Soap inaongelewa kila kona na asilimia kubwa ya watanzania wameamua kuichagua kuwa sabuni yao rasmi ya kuogea. Ukitumia sabuni hii ya asili utaihakikishia ngozi yako ulinzi na utaifanya ngozi yako kuwa nyororo na yenye mvuto kila wakati.

Sabuni hii pamoja na vipodozi vingine kutoka Grace Products Limited vimeidhinishwa na mamlaka ya chakula na dawa TFDA na shirika la viwango Tanzania (TBS) hivyo kukuhakikishia usalama wakati wa matumizi.

Jipatie Zoazoa yako kwenye maduka yote ya vipodozi na maduka mengine nchi nzima au fika makao makuu Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.

No comments:

Post a Comment