Unaweza kujihakikishia mng'aro wa ajabu kwenye usafi wako kwa kutumia sabuni yenye nguvu na ubora ya Grace Liquid Soap. Sabuni hii ni mahususi kwa usafi wa nyumba,vyombo, mazuria, sinki na usafi wa jumla wa nyumbani.
Grace Liquid Soap pamoja na bidhaa zingine kutoka Grace Products Limited zimeidhinishwa na TBS na TFDA kwa ajili ya matumizi yako. Zitumie sasa!!.
Grace Liquid Soap pamoja na bidhaa zingine kutoka Grace Products Limited zimeidhinishwa na TBS na TFDA kwa ajili ya matumizi yako. Zitumie sasa!!.
No comments:
Post a Comment