Grace Organic Facial Polish sio tu itakupatia muonekano bomba bali itaboreha ngozi ya uso wako, kuondoa mafuta usoni na kuilanisha na kuing'arisha ngozi yako.
Unangoja nini sasa? jipatie polish yako ya Grace kwenye maduka ya vipodozi au tutembelee Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.
No comments:
Post a Comment