Huna sababu yoyote ya kuhatarisha nywele na ngozi yako kwa kutumia mafuta au vipodozi vyenye viambata sumu wakati vipo vitu vizuri tena vya aslili kwa ajili yako kutoka Grace Products Limited.
Mafuta ya Grace Avocado Hair & Body Gardener yenye virutubisho vitokanavyo na tunda la avocado yanaitosha ngozi na nywele zako kwani yatakuhakikishia ngozi nyororo na nywele zenye afya wakati wote huku ukibaki na ngozi asili..
Usihangaike kuipata bidhaa hii kwani ukiikosa kwenye maduka ya vipodozi unaweza kuipata kwa kutembelea ofisi zetu zilizopo Ilala Boma, jengo la Mwalimu Ghorofa ya 8.
NAOMBENI TANGAZENI KWENYE TOVUTI HII KWA SHILINGI 5,000TU
ReplyDeleteLORONG KATA atau Lorong Kata adalah salah satu website yang dirancang oleh beberapa aktivis dan mahasiswa untuk menuangkan ide-ide publik dalam bentuk fiksi maupun semi-fiksi. Baik dalam konteks sosial, ekonomi, politik, dan olahraga maupun budaya. Asuransi Kendaraan MSIG
ReplyDelete