Banner

Banner

Wednesday, 3 August 2016


Huna sababu yoyote ya kuhatarisha nywele na ngozi yako kwa kutumia mafuta au vipodozi vyenye viambata sumu wakati vipo vitu vizuri tena vya aslili kwa  ajili yako kutoka Grace Products  Limited.

Mafuta ya Grace Avocado Hair & Body Gardener yenye virutubisho vitokanavyo na tunda la avocado yanaitosha ngozi na nywele zako kwani yatakuhakikishia ngozi nyororo na nywele zenye  afya wakati wote huku ukibaki na ngozi asili..

Usihangaike kuipata bidhaa hii kwani ukiikosa kwenye maduka ya vipodozi unaweza kuipata kwa kutembelea ofisi zetu zilizopo Ilala Boma, jengo la Mwalimu Ghorofa ya 8.

Usafi wa nywele zako haujakamilika bila kuitumia Grace Herbal Shampoo &Conditioner. Shampoo hii sio tu itaziacha nywele zako zikiwa safi bali itazifanya zisikatike, zing'are na ziwe zenye afya. Usitamani nywele nzuri, kuwa na nywele nzuri kwa kutumia shampoo bora ya Grace.

Grace Herbal Shampoo & Conditioner imekubalika na watanzania. Ni zamu yako na wewe kuichagua!!!.

Tuesday, 26 July 2016


Ng'arisha ngozi ya uso wako bila kupoteza asili yake na kukuongezea muonekano wenye mvuto wakati wote kwa kutumia polish bora na ya asili ya Grace.

Grace Organic Facial Polish sio tu itakupatia muonekano bomba bali itaboreha ngozi ya uso wako, kuondoa mafuta usoni na kuilanisha na kuing'arisha  ngozi yako.

Unangoja nini sasa? jipatie polish yako ya Grace kwenye maduka ya vipodozi au tutembelee Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.

Thursday, 21 July 2016



Grace Organic My Baby Gardener kutoka Grace Products Limited ni mafuta sahihi kwa mahitaji ya ngozi bora kwa mwano. Mafuta haya yatalinda ngozi ya mtoto wako na kuiacha ikiwa yenye afya bora.

Mafuta haya ya asili sio tu yatakuwa mlinzi wa ngozi ya mwanao lakini yataiacha ngozi yake ikiwa nyororo, yenye afya na ya kuvutia wakati wote.

Grace Organic My Baby Gardener inapatikana kwenye maduka ya vipodozi na maduka mengine nchi nzima au tembelea makao makuu ya Grace Products Limited yaliyopo Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.