Banner

Banner

Thursday, 12 November 2015

MATAMANIO YETU NI KUMFIKIA KILA MTU
Ili kuhakikisha tunamfikia kila mtu, tunafanya jitihada za kuwafikia na kuzungumza na wateja wetu kwa njia mbalimbali ili kuwaeleza kwa kina kuhusu faida za kutumia bidhaa zetu za asili za Grace.
Mkurugenzi wa Grace Products Ltd. Bi.Elizabeth Kilili akiwa ndani ya studio za Jembe FM kuzungumzia bidhaa za Grace.

No comments:

Post a Comment