Tahadhari: Kuna wimbi la uchakachuaji wa bidhaa za Grace umeibuka mitaani.Bidhaa hizi feki zinaweza kukuletea madhara wewe mtumiaji.
Hii ni sabuni ORIGINAL ya GRACE ZOAZOA MANJANO. Utofauti kati ya bidhaa hii halisi na bidhaa feki ni kuwa maandishi yake kwenye boksi yamevimba lakini maandishi ya sabuni feki hayajavimba kwenye boksi. Epuka FEKI , zingatia bidhaa ORIGINAL kutoka GRACE PRODUCTS LIMITED.
Naitaji ushirikiano kutoka kwenu kufichua jangili lililoingiria sabuni yangu ya Grace, naahidi kutoa milioni tano (5,000,000) cash kwa yeyote atakayetoa taarifa kwa mzizi ulipo na naahidi kutomtaja. Wadau naomba ushirikiano wenu.
ReplyDeleteNaitaji ushirikiano kutoka kwenu kufichua jangili lililoingiria sabuni yangu ya Grace, naahidi kutoa milioni tano (5,000,000) cash kwa yeyote atakayetoa taarifa kwa mzizi ulipo na naahidi kutomtaja. Wadau naomba ushirikiano wenu.
ReplyDelete