"NIMEWAKUBALI" :Ni kauli ya waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda baada ya kuguswa na maelezo kuhusu bidhaa za Grace kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Grace Products Limited Bi.Elizabeth Kilili kama inavyoonekana kwenye gazeti la Majira la leo tarehe 03.11.2015.
No comments:
Post a Comment