TAHADHARI : Limeibuka wimbi la watu wanaotenegeneza bidhaa feki za GRACE na kuzisambaza mitaani, hivyo tunawatahadharisha wateja wetu kuhusu uhalifu huu na kuwasisitiza kuwa makini na bidhaa hizo ambazo zinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watumiaji. Zingatia matumizi ya bidhaa ORIGINAL kutoka GRACE PRODUCTS LIMITED.
No comments:
Post a Comment