Banner

Banner

Thursday, 31 December 2015

Ahsante kwa kuwa nasi 2015


Zipokee shukrani za dhati kutoka GRACE PRODUCTS LTD kwa kutumia bidhaa zetu mwaka 2015. Tunaahidi kuendelea kutoa bidhaa zenye ubora na zitakazokidhi matarajio yako.

Tunakutakia heri ya mwaka mpya wa 2016 na tegemea mapya, makubwa na mengi kutoka GRACE PRODUCTS LTD.

Bila shaka mwaka 2016 utakuwa ni wa NEEMA JUU YA NEEMA kwako.

No comments:

Post a Comment