Fungua mwaka 2016 na bidhaa za GRACE. Tuna bidhaa mbalimbali kuanzia Shampoo kwa ajili ya nywele, Mafuta ya ngozi na nywele, polish ya kusafishia uso, Losheni, Mafuta ya watoto, Sabuni ya usafi wa choo, tiles na kadhalika.
Bidhaa zetu zisizo na kemikali ya aina yeyote zinatengenezwa kwa umakini na viwango vya hali ya juu na pia zimethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) pamoja na shirika la viwango Tanzania (TBS).
Ijali afya ya ngozi yako na mtoto wako kwa kutumia Grace Products.
No comments:
Post a Comment