Grace Products Limited inaendelea kutoa tahadhari kwa watumiaji wa bidhaa zake hasa sabuni ya GRACE ZOAZOA MANJANO kwamba kuna wahuni wanachakachua sabuni hii.Sabuni hizi feki zinasemekana kua na madhara makubwa kwa mtumiaji kwani hazitengenezwi kwa kuzingatia viwango vinavyokubalika.
Donge nono la fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni 5 (5,000,000) litatolewa kwa yeyote atakayetupatia taarifa na kufanikisha kupatikana kwa watengenezaji wa sabuni feki ya GRACE ZOAZOA MANJANO.
Tuoneshe ushirikiano wako ili tuendelee kukupatia huduma bora na za uhakika.
Wasiliana na sisi kupitia njia za mawasiliano hapo juu.
No comments:
Post a Comment