Banner

Banner

Monday, 21 December 2015


Siku hizi ngozi zetu kushambuliwa na magonjwa mbalimbali limekuwa jambo la kawaida. Bahati mbaya wengi wetu hatufahamu ni jinsi gani tunaweza kuzilinda ngozi zetu dhidi ya magonjwa hayo. Sisi Grace Products tunaye mlinzi madhubuti kwa ajili ya ngozi yako na huyu si mwingine bali ni Grace Avocado Hair & Body Gardener.


Mafuta haya ya asili yatakulinda dhidi ya utangotango, mapunye, ukurutu, fangasi aina zote mwilini, kansa, kuifanya ngozi kuwa laini na pia yanaweza kutumika kwenye nywele kuzikuza, kuondoa mba, kuzuia kukatika na kuotesha nywele kwa wenye vipara.

1 comment: