Banner

Banner

Thursday, 26 May 2016


Mafuta pekee anayohitaji mwanao kwa ajili ya kupaka ni Grace Organic My Baby Gardener kutoka Grace Products Limited. Mafuta haya yatalinda ngozi ya mtoto wako na kuiacha ikiwa yenye afya bora.

Mafuta haya ya asili sio tu yatakuwa mlinzi wa ngozi ya mwanao lakini yataiacha ngozi yake ikiwa nyororo, yenye afya na ya kuvutia wakati wote.

Grace Organic My Baby Gardener inapatikana kwenye maduka ya vipodozi na maduka mengine nchi nzima au tembelea makao makuu ya Grace Products Limited yaliyopo Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.

No comments:

Post a Comment