Pendezesha nyumba yako kwa kutumia Grace Disinfectant yenye uwezo wa kufanya tiles zako zionekane mpya na choo chako kiwe safi muda wote. Grace Disifectant imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuhakikisha usafi wa jumla wa nyumbani na ofisi unakuwa rahisi na wa uhakika.
Grace Disinfectant ipo kwenye ujazo wa lita 5 na inapatikana kwenye maduka ya vipodozi na maduka mengine nchi nzima. Kupata bidhaa hii na maelezo zaidi fika makao makuu ya Grace Products Limited yaliyopo Ilala Boma, Mwalimu House, 8th Floor.
No comments:
Post a Comment