Banner

Banner

Monday, 30 May 2016


Usafi wa nywele zako haujakamilika bila kuitumia Grace Herbal Shampoo &Conditioner. Shampoo hii sio tu itaziacha nywele zako zikiwa safi bali itazifanya zisikatike, zing'are na ziwe zenye afya. Usitamani nywele nzuri, kuwa na nywele nzuri kwa kutumia shampoo bora ya Grace.

Jipatie Shampoo yako na vipodozi vingine kutoka Grace kwa kutembelea makao makuu yetu Ilala Boma Mwalimu House Ghorofa ya 8 au kwenye maduka ya vipodozi na maduka mengine nchi nzima.

No comments:

Post a Comment