Asali ina historia ndefu sana kwa matumizi ya binadamu na imethibisha kuwasaidia watu wengi sana kiafya.
Kutokana na ukweli kwamba asali ina umuhimu mkubwa na ni mlinzi mkubwa dhidi ya maradhi mbalimbali, Grace Products Limited imeamua kujali afya yako na kukuletea bidhaa ya Asali itokanayo na nyuki wadogo.
Usijiulize wapi utaipata bidhaa hii kwani unaweza kuipata kwa kutembelea ofisi za kampuni yetu zilizopo Ilala Boma, jingo la Mwalimu Ghorofa ya 8.
No comments:
Post a Comment