Banner

Banner

Thursday, 2 June 2016


Sasa unaweza kujihakikishia mng'aro wa ajabu kwenye usafi wako kwa kutumia sabuni yenye nguvu maradufu ya Grace Liquid Soap. Sabuni hii ni mahususi kwa usafi wa nyumba,vyombo, mazuria, sinki na usafi wa jumla wa nyumbani.

Grace Liquid Soap pamoja na bidhaa zingine kutoka Grace Products Limited zimeidhinishwa na TBS na TFDA  kwa ajili ya matumizi yako. Zitumie sasa!!.


No comments:

Post a Comment