Si kila losheni itakufaa, ila nakuhakikishia ngozi yako inahitaji Grace Organic Lotion Garlic & Honey kutoka Grace Products Limited kwani losheni hii ya asili ina chakula cha ngozi na ina virutubisho vinavyohitajika kwenye ngozi yako.
Grace Organic Lotion Garlic & Honey imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya kuitunza ngozi yako na kuiboresha bila kupoteza asili yake. Losheni hii ya asili hulainisha ngozi, huifanya ngozi kuwa na mng'aro wa kuvutia na kuiacha ikiwa fresh wakati wote.
Jipatie losheni hii kwenye maduka ya vipodozi nchi nzima au fika katika ofisi zetu Ilala Boma, Jengo la Mwalimu, Ghorofa ya 8.
No comments:
Post a Comment